“Me”

MKALIMANI

Struggles of joy, empress of the jungle,Like a tune, you in my heart it feels like a jiggle,Long time, the tune sang for century,Lifes long work, provision for century,As wise, a definition of an owl.

Taking off, ndege bila mabawa,
Laughter ,jaza chungu nzima ka bwawa,
Dogs barks, sababu hawakujui,
Mola nangoja Baraka, ntawaondokea ka chui,
Utavuna ulichopanda, tune ya matendo.

Mtaka cha mvunguni, mstue ainame,
Shida ziko, shugulikia zako ziame,
Familia muhimu, their smile important,
Hopes to see a better tomorrow, waiter,
Wananirushia kijicho, niliwaona jicho pevu,.

Msimu ni wa mvua, panda utavuna,
Mazao ni yale yale, mbegu ni moja,
Mola nimekaribisha maombi, blessing sign yako nangoja,
Mvumilivu, kwa kivuli atakula mbivu,
Ngware narauka, kutafuta mbichi na mbivu kwa utulivu.